GET /api/v0.1/hansard/entries/820239/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 820239,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/820239/?format=api",
"text_counter": 357,
"type": "speech",
"speaker_name": "Cherangany, JP",
"speaker_title": "Hon. Joshua Kutuny",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Licha ya kuzungumzia hayo, mimi nataka kukashifu viongozi kutoka Bonde la Ufa ambao walienda kule Mau na kumkashifu Rais na kumpatia ilani juu ya suala hili. Kwa mazungumzo ambayo yanaendelea sasa ni kwamba ubomoaji wa nyumba umekwama. Tunashukuru Serikali kwa hilo. Lakini watu wapewe makao. Hayo ndiyo mimi naomba kwa sasa."
}