GET /api/v0.1/hansard/entries/821296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 821296,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/821296/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "August 8, 2018 SENATE DEBATES 26 Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika wa Muda, neno “unga” limekuwa katika Kamusi ya Kiswahili tangu Karne ya 18. Je, ni sawa Seneta wa Nairobi kusema kwamba “unga” inamaanisha Uasin Gishu Grain Association? Unga si wa mahindi tu. Kuna unga wa wimbi, ndengu, ngano na hata unga wa nafaka zingine. Pia kuna unga wa mihogo unaotumiwa zaidi kupika ugali kule kwetu."
}