GET /api/v0.1/hansard/entries/821881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 821881,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/821881/?format=api",
"text_counter": 94,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Ni ukweli kwamba wanawake wamedhulumiwa sana. Wanatendewa unyama na wenzetu wanaume. Ukikuja katika eneo Bunge langu, tuko na Agricultural Development Corporation (ADC) ambayo inachukua watoto wetu, haswa wale ambao wanatoka katika jamii maskini. Mwishowe, badala ya kuwalipa fedha zile wamefanyia kazi, wanawadhulumu hawa watoto kimapenzi na kuwaumiza. Iwapo tutakuwa na vituo kama hivi katika nchi yetu ya Kenya, vitatusaidia kwa sababu watu ambao wameathirika watapata nafasi ya kwenda huko, waangaliwe na watibiwe."
}