GET /api/v0.1/hansard/entries/821882/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 821882,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/821882/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Wiki mbili zilizopita, nilikuwa na mzee wa mtaa ambaye anafanya kazi vizuri. Kwa sababu ya wahalifu ambao wako miongoni mwetu katika sehemu hiyo ya milimani, huyu mama alidhulumiwa na wakora ambao waliingia kwa nyumba yake. Saa ingine, kwa sababu ya umri, mtu hatembei akisema kuwa amenajisiwa. Kama tutakuwa na vituo kama hivi, itakuwa ni nafasi nzuri ya mtu kwenda kueleza amedhulumiwa na mtu fulani."
}