GET /api/v0.1/hansard/entries/821884/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 821884,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/821884/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "hapo. Lakini kama tuko navyo na vinajulikana kwamba viko wazi, itakuwa ni rahisi sana hata kwa mtu ambaye anataka kuokoa mlemavu. Atajua kwamba kuna kitengo fulani cha watu ambao wameathirika katika jamii. Kulingana na Katiba yetu, kila mmoja wetu ako na usawa wa maisha yake kuhakikisha kwamba analindwa kama Mkenya yeyote. Vile Mheshimiwa amesema hapa, ninaona litakuwa ni jambo nzuri sana iwapo Serikali itachukua Hoja hii na kujenga vituo hivi mara moja. Itatuokoa sisi wamama katika nchi yetu ya Kenya. Walioathiriwa wataweza kupata matibabu na usadizi mwingine."
}