GET /api/v0.1/hansard/entries/823417/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 823417,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/823417/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Pia tuwekeze katika mambo ya michezo. Tusiseme tu shule bali tuwekeze katika shule hizi na tuangalie kwamba zinapata vifaa spesheli ambavyo pia Wakenya wengine wanapata katika shule mbalimbali. Wazo langu ni kwamba wakati ambapo shule zinaundwa, ni vyema pia wao tuwawekee nafasi ya kuhakikisha wanajihisi kama Wakenya wengine ili waweze kuendelea The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}