GET /api/v0.1/hansard/entries/823495/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 823495,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/823495/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
"speaker": {
"id": 13245,
"legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
"slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
},
"content": "Kwa hivyo, kufikia wakati huu, tunaomba Serikali vile vile itengee mimea mingine yote pesa. Tunaomba pesa nyingi zitengwe ili kufaidi wakulima wa mnazi na wafanyi kazi wa kilimo ili waweze kuelimisha wakulima zaidi. Hii ni kwa sababu wataweza kupata mbegu ambayo inaweza kustahimili ukame na tuweze kurejelea kazi zetu za kawaida. Serikali ikifanya hivyo, itawezesha mama na baba zetu kule Pwani kurudia kazi zao za kawaida, na wagema pia wataweza kufanya kazi zao. Tunahitaji pesa nyingi kama billion kumi ili kurejesha na kufidia wakulima wa mnazi kule Pwani."
}