GET /api/v0.1/hansard/entries/823511/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 823511,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/823511/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Teso North, ANC",
"speaker_title": "Hon. Oku Kaunya",
"speaker": {
"id": 13488,
"legal_name": "Edward Oku Kaunya",
"slug": "edward-oku-kaunya"
},
"content": " Asante Mhe. Spika wa Muda wa kunipa nafasi. Nataka kuchanagia Hoja hii kwa kusema kuwa ni muhimu kufidia hawa wakulima wa Kilifi. Kilifi ni mahali nimewahi kufanya kazi na mimea miwili ambayo inaletea wakulima pesa ni korosho na mnazi. Korosho, kama vile tulizungumzia hapo awali, ni mmea ambo ulikuwa unawapatia wakulima faida lakini mtambo wa korosho ulifungwa. Ulifungwa wakati nilienda The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}