GET /api/v0.1/hansard/entries/823534/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 823534,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/823534/?format=api",
    "text_counter": 279,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Msambweni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Suleiman Dori",
    "speaker": {
        "id": 2388,
        "legal_name": "Suleiman Dori Ramadhani",
        "slug": "suleiman-dori-ramadhani"
    },
    "content": "Vile vile, tungeomba na kuiambia Wizara ya Kilimo iweke mfuko fulani ambao kila mwaka, utakuwa unaangalia wakuzaji wote wa mnazi kuwe kuna sehemu fulani ambayo wanapewa msukumo. Kama sasa, tunajua iko mbegu mpya ambayo imekuja katika Wizara hiyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}