GET /api/v0.1/hansard/entries/825328/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 825328,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/825328/?format=api",
"text_counter": 35,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "kali kwa muda mrefu. Bado haijajulikana sababu ya wanyama wa msituni kuua watu na bado kuna shida ya malipo. Kule ninakotoka, watu wanaoishi karibu na wanyama wanateseka sana haswa wakati wa ukame. Wakati huo, utapata wanyama wa msituni wanang’ang’ania maji, ng’ombe na wanaua watu na bado walioathirika hawajalipwa hadi sasa. Ningeomba ijulikane kuwa kuna shida katika Wizara hiyo na Serikali inafaa kutatua shida hiyo."
}