GET /api/v0.1/hansard/entries/825706/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 825706,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/825706/?format=api",
"text_counter": 413,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "sababu hana raha kwa kazi yake. Kwa hivyo, hili shirika likibuniwa vizuri, litasaidia maafisa wake kufanya kasi na inafaa kuchunguza pande zote. Wanafaa kuangalia maafisa wa polisi na yale makosa ambao wamefanya. Kuna pande mbili. Wananchi walioteuliwa kuingia katika shirika hili wameorodhesha akina mama. Uteuzi huu umeangalia maeneo kadhaa. Lazima uteuzi huu umeangalia karatasi zao na masomo yao. Wamesoma na hii inaonyeshwa na makaratasi yao. Badala ya kumwangalia mama ambaye anatajwa kwamba alikuwa kwa Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC), naomba tusiangalie mtu mmoja na hatujui alichofanya. Pengine kamati husika iliangalia vizuri na ikapitisha kwa njia inayotakikana. Naomba tuwapitishe wote wanane bila kuwekelea wengine mambo fulani bila uthibitisho. Naunga mkono. Asante."
}