GET /api/v0.1/hansard/entries/827061/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 827061,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/827061/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Swala hili limeleta utata sana katika sehemu za Pwani. Kwa niaba ya Kaunti ya Kwale na mimi binafsi, natoa rambirambi zangu kwa watu wa Kaunti ya Taita Taveta kwa sababu ya maafa ya juzi."
}