GET /api/v0.1/hansard/entries/827062/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 827062,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/827062/?format=api",
    "text_counter": 31,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Sen. Mwaruma amesema maneno mazito sana hapa kwamba watu wameuawa. Kama tunavyojua mwananchi akiuawa, watu hawapigi kilele nyingi. Lakini ingekuwa ni mnyama amapetikana ameuawa katika mbuga, wakati huu watu wangekuwa wameenda huko mbio kushughulikia jambo hilo."
}