GET /api/v0.1/hansard/entries/827063/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 827063,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/827063/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Ninaomba hili swala lishughulikiwe kwa haraka sana na Kamati hii. Ningeomba Kamati hii itoe utaratibu wake haraka iwezekanavyo kwa sababu wananchi wanaishi kwa taharuki kubwa bila kujua mwelekeo wao ni upi."
}