GET /api/v0.1/hansard/entries/827289/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 827289,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/827289/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nimefanya utafiti wa kutosha. Kwanza naipongeza Kamati ya Seneti iliyo kuja na Mswada huu ambao umekuja kwa wakati mwafaka kwa sababu tumeona kwamba kadiri tunavyoendelea, mambo yanayoibuka ni mengi. Jambo moja lililoibuka ni maendeleo katika maeneo ya teknolojia. Kwa hivyo, tunaweza kukusanya data nyingi za wananchi wa Kenya na taasisi nyinginezo na ipo haja ya kulinda data hiyo ili isitumiwe vibaya, kwa mfano, wanaweza kuitumia kwa uhalifu au mambo mengine ambayo haifai kijamii."
}