GET /api/v0.1/hansard/entries/827290/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 827290,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/827290/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Jambo la pili ni kwamba Mswada huu pia unazingatia Kifungu Nambari 31 cha Katiba ya Kenya. Ni jukumu la Serikali au nchi kulinda data ya kibinafsi ya watu na kuangalia ni njia gani inaweza kukusanywa, kuwekwa na kuzingatia haki za watu."
}