GET /api/v0.1/hansard/entries/827291/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 827291,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/827291/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, hapo nyuma tumeona kwamba data imetumika vibaya mpaka ikabidi wakurugenzi wa Face Book kwenda katika Bunge la Congress la Marekani kujieleza ni vipi watu ambao hawa kuruhusiwa walitumia data ya watu binafsi bila kuomba ruhusa kwa wahusika. Hili ni jambo ambalo liko wazi na ni lazima tuweke msingi wa kulinda data ya watu."
}