GET /api/v0.1/hansard/entries/827294/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 827294,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/827294/?format=api",
"text_counter": 263,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "kadi zinazotumika katika benki wakati kazi zile zingeweza kufanyika hapa nchini na wananchi wakaweza kupata ajira na mashirika yetu pia yakazidi kuendelea. Bw. Naibu Spika, hapo awali, data pia imetumika vibaya kwa wananchi kwa sababu watu wanapata zile data kutokana na mashirika mbalimbali na kuzitumia vibaya, kwa mfano, wakati wa kupiga kura, watu wanapata ujumbe au email za kueneza"
}