GET /api/v0.1/hansard/entries/830735/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 830735,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/830735/?format=api",
"text_counter": 158,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matungu, ANC",
"speaker_title": "Hon. Justus Makokha",
"speaker": {
"id": 13430,
"legal_name": "Justus Murunga Makokha",
"slug": "justus-murunga-makokha-2"
},
"content": " Shukrani, Mhe. Spika kwa kunipa hii nafasi. Nasimama kuunga mkono Hoja hii. Imekuja kwa wakati ufaao. Shule nyingi haswa za upili wakati huu zilianzishwa kama shule za msingi. Kwa mfano, kuna shule moja kutoka kwangu ambayo imeanzishwa kwa ekari moja ya shamba. Ukiangalia mahitaji na majengo ya shule hiyo, watoto wanahitaji mahali pa kuchezea. Mahali pa kuchezea kama uwanja wa mpira utachukua kiasi cha ekari moja ya shamba. Kwa hivyo, hii ni Hoja iliyokuja kwa wakati unaofaa. Serikali yetu inafaa kuweka sheria kwa sababu ya upanuzi wa shule zetu. Naunga mkono Hoja hii. Ahsante."
}