GET /api/v0.1/hansard/entries/830893/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 830893,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/830893/?format=api",
    "text_counter": 316,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": " Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa nafasi ambayo umenipa ya kuchangia mjadala ambao unahusu vijana ambao hawajafanikiwa kuenda mbele sana na masomo. Kwanza ni kumpongeza Mheshimiwa Kanyi Njagua kwa kuleta hii Hoja. Tuna vijana wengi sana Kenya ambao wana ujuzi, wamefundishwa na mababu zao, wazazi na wajomba. Ukiangalia kazi ya ujenzi, uashi, useremela na kazi ya mifereji, vijana hao wana ujuzi mzuri sana. Ukienda mashinani, utakuta vijana wanakosa kujiendeleza katika maisha yao. Mafundi wengi wanatajika katika vijiji lakini wakija kutafuta The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}