GET /api/v0.1/hansard/entries/830894/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 830894,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/830894/?format=api",
"text_counter": 317,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": {
"id": 13509,
"legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
"slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
},
"content": "kandarasi katika vitengo kama vya kaunti na vya NG-CDF inakuwa vigumu kwa sababu hawana vyeti. Hoja inahimiza kwamba sehemu zitengwe za kufanya majaribio kwa vijana hawa ambao wako na ujuzi tayari. Juzi wakati shirika la reli nchini lilipokuwa linachukua vijana kwa kazi ya"
}