GET /api/v0.1/hansard/entries/834026/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 834026,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/834026/?format=api",
"text_counter": 96,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tana River CWR, MCCP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
"speaker": {
"id": 13275,
"legal_name": "Rehema Hassan",
"slug": "rehema-hassan"
},
"content": "Shule zingine ambazo vijana hawa husomea hazina maabara. Vijana wanaotoka shule hizi wanastahili kushindana na vijana wengine na wanatarajiwa kupita katika somo la sayansi kama wale ambao wana maabara mazuri. Inamaanisha hawa vijana hawatakuwa na matokea sawa. Wakati wanapofanya mahojiano, wanatarajiwa kuwa na alama sawa na wale vijana wengine. Hii inawafungia vijana wengine nje. Kama vile tulivyosema kuwa kuna usawa wa kijinsia, jambo hilo ni lazima litiliwe mkazo."
}