GET /api/v0.1/hansard/entries/834028/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 834028,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/834028/?format=api",
    "text_counter": 98,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Tana River CWR, MCCP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13275,
        "legal_name": "Rehema Hassan",
        "slug": "rehema-hassan"
    },
    "content": "Nasikia kuna tetezi kuwa watu wanasema kiti cha Mwanamke Mwakilishi kitatolewa. Wanawake Wawakilishi ndio wanaangalia vijana hawa angalau wapate ajira. Wakati wanapatiwa miradi, wanaweza kujiajiri wenyewe. Pesa hizo ndio zinaguza maisha ya vijana na akina mama."
}