GET /api/v0.1/hansard/entries/834446/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 834446,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/834446/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ruiru, JP",
    "speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
    "speaker": {
        "id": 13468,
        "legal_name": "Simon Nganga Kingara",
        "slug": "simon-nganga-kingara-2"
    },
    "content": "wote kuchukua hatua mwafaka tukitumia sera zitakazotupigisha hatua kimaendeleo. Ni changamoto kwa sisi wote Wakenya - moja kwa mwingine - kuchukua hatua na kusukuma mambo ya ardhi, kupunguza umasikini, tukitumia masomo katika Ripoti ambayo imewekwa mbele yetu siku ya leo. Naunga mkono Ripoti hii."
}