GET /api/v0.1/hansard/entries/835177/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 835177,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835177/?format=api",
    "text_counter": 257,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya terrorism ambayo imebuniwa na Sen. (Rev.) Waqo. Bw. Spika wa Muda, ugaidi umekuwa janga katika nchi yetu ya Kenya kwa muda mrefu kutoka miaka ya 1980 tulipopata tukio la kwanza la ugaidi wakati hoteli ya Norfolk iliposhambuliwa na magaidi. Baadaye, tukapata hasara kubwa wakati Ubalozi wa Marekani ulipopigwa tena na magaidi, Kikambala na kwengineko ambako kumetokea visa vya uhalifu wa kigaidi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}