GET /api/v0.1/hansard/entries/835180/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 835180,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835180/?format=api",
"text_counter": 260,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, nimefurahi kwamba kuna kifungu kilichobuniwa cha 12(e). Kifungu hiki kinasema kwamba kuwepo na County Education Board (CEB) ambayo itakuwa inaangalia mtaala unaofunzwa katika taasisi za kidini. Wengi wanaopoteza vijana wetu wanafanya hivyo kwa njia ya dini. Kwa hivyo, tukipata marekebisho katika mtaala au tuwe na mtaala mmoja katika mambo ya dini, vijana wetu watafunzwa mambo yanayojulikana ili kuepushwa na maswala ya itikadi kali."
}