GET /api/v0.1/hansard/entries/835184/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 835184,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835184/?format=api",
"text_counter": 264,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, jambo lingine ambalo linafurahisha katika marekebisho haya ni kwamba kumependekezwa kuwa na mkuu wa taasisi ambaye atakuwa akisimamia mambo ya administration. Kwa sasa, taasisi nyingi ambazo sio za Serikali rasmi hazina msimamizi rasmi wa kuangalia kwamba wanafunzi wanafunzwa mtaala sawa. Katika Kifungu cha 12(g) majukumu ya wazazi yametolewa wazi. Wana majukumu ya kuhakikisha kwamba watoto wao hawaingii katika itikadi kali zisizojulikana. Hivi sasa, mtoto akipotea, mzazi anakua na hofu kubwa kwamba akienda kuripoti kwa polisi, yeye mwenyewe pia anaweza kuwekwa ndani kwa sababu hataweza The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}