GET /api/v0.1/hansard/entries/835185/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 835185,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835185/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "kujieleza kwa ufasaha mtoto ameenda sehemu gani. Huenda akachukuliwa kama mtuhumiwa na itabidi abaki korokoroni, huku polisi wakitafuta habari kuhusiana na kijana yule. Kwa upande mwingine, mzazi ana hofu kwa sababu waliomchukua mtoto wake wanaweza kumuua wakisema kwamba amepiga ripoti kuhusu mwenzao na kwa hivyo, lazima wamuue ili kuepuka matatizo. Iwapo marekebisho haya yatakubalika, mzazi atakua na uwezo wa kuenda kuripoti iwapo mtoto wake amepotea kwa njia zisizojulikana. Polisi watakuwa na nafasi ya kufanya uchunguzi kujua kule kijana huyo ameenda."
}