GET /api/v0.1/hansard/entries/835187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 835187,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835187/?format=api",
"text_counter": 267,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Tumeona pia wengi waliorudi kutoka kwa hizo safari za itikadi kali na ugaidi hawana makaazi. Wengi wao waliposafiri, labda walipewa USD1,000 na kuahidiwa mengi makubwa wakifika kule. Wanapofika huko na kupata shida, hawawezi kurudi huku kwa sababu inawasubiri kuwahukumu na pia jamii haiko tayari kuwakubali kwa sababu ya itikadi walizoendea kule. Kwa hivyo, taasisi za kurekebisha tabia zitasaidia pakubwa kurekebisha tabia za waathiriwa na kuwafanya wawe wananchi wa kutegemewa katika jamii."
}