GET /api/v0.1/hansard/entries/835223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 835223,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835223/?format=api",
    "text_counter": 303,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "mafunzo, Serikali inafaa kutangaza kujumuika kwao na Wakenya na wasichukuliwe kama wagonjwa wa ukoma ya kwamba hawawezi kupata kazi. Hiyo inawafanya kubaki kama mayatima. Ikiwa siwezi kupata kazi, basi nitarudi kule nilikotoka. Kwa hivyo, sisi kama Wakenya lazima tuzingatie mambo haya. Serikali nayo inafaa kujikakamua vilivyo ili kutekeleza wajibu wake kwa Wakenya."
}