GET /api/v0.1/hansard/entries/835226/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 835226,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835226/?format=api",
"text_counter": 306,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, asante kunipa nafasi hii ili kuchangia Mswada ulioletwa hapa na dadangu, Seneta Mteule, Rev. Naomi Waqo. Ujangili na ugaidi umekuwa tishio kubwa katika nchi ya Kenya. Ugaidi umeshuhudiwa mahali pengi katika nchi hii na hasa wakati Chuo Kikuu cha Garissa kilipovamiwa. Wale waliohusika walikuwa vijana wa vyuo vikuu ambao walitekeleza maafa hayo. Hiyo inamaanisha kuwa sisi kama Wakenya tumepoteza uadilifu kama jamii ya kiafrika."
}