GET /api/v0.1/hansard/entries/835227/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 835227,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835227/?format=api",
    "text_counter": 307,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Ugaidi ni kitu ambacho sisi kama jamii tunafaa kuanza kupigana nacho. Ni vyema tupambane na ugaidi kabla haujafikia katika serikali za kaunti ama Serikali ya kitaifa. Sisi kama jamii ambao tunaishi vijijini na sehemu mbalimbali za Kenya tunafaa kuukandamiza. Tunafaa kutangaza na kuambia wanaohusika na ugaidi kuwa ugaidi haufai."
}