GET /api/v0.1/hansard/entries/835230/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 835230,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/835230/?format=api",
    "text_counter": 310,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Ni vyema tuungane mikono kuanzia vijijini ambako jamii zinaishi na lisiwe jukumu la Serikali pekee. Serikali pekee haiwezi kufaulu katika vita dhidi ya ugaidi. Magaidi wanaishi miongoni mwa jamii vijijini na katika miji mikubwa ya nchi hii. Kwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}