GET /api/v0.1/hansard/entries/836411/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 836411,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/836411/?format=api",
    "text_counter": 297,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kinango, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
    "speaker": {
        "id": 13379,
        "legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
        "slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia Hoja hii ya suala la mazingira. Kwanza kabisa, nataka kuishukuru Kamati ya Mazingira, ikiongozwa na Mhe. Kareke Mbiuki, ambayo inafanya kazi vizuri sana. Waliingilia masuala ya nyumba ambazo zimejengwa kwenye mito na yule simba wa rangi ya kijani kibichi akaanza kuporomosha nyumba hapa Nairobi."
}