GET /api/v0.1/hansard/entries/836413/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 836413,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/836413/?format=api",
    "text_counter": 299,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kinango, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
    "speaker": {
        "id": 13379,
        "legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
        "slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
    },
    "content": "Katika eneo Bunge langu, kuna kampuni ambazo zinachimba mawe. Zinaharibu hadi shule ambazo ziko karibu lakini shirika la NEMA halifanyi lolote. Kwa hivyo, nataka niunge mkono niseme ya kwamba ni lazima Bunge lihakikisha Shirika la NEMA limewekwa katika orodha ya yale mashirika ambayo yanazembea na ni lazima wachapwe kiboko."
}