GET /api/v0.1/hansard/entries/836415/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 836415,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/836415/?format=api",
    "text_counter": 301,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kinango, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
    "speaker": {
        "id": 13379,
        "legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
        "slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
    },
    "content": "Kwa hivyo, nataka niunge mkono Kamati hii katika wazo hili ambalo wameleta na mapendekezo yote ambayo wameweka katika Ripoti hii. Hili Bunge linafaa kuunga mkono Ripoti hii na yale mabadiliko ambayo yatahakikisha ya kwamba Shirika la NEMA limewekwa katika ile orodha ya wale ambao wanafanya makosa na kuona kwamba mambo kama haya yanazidi kuendelea. Mambo haya yabadilishwe ili tuhakikishe ya kwamba tunaweka nafasi nzuri katika Serikali yetu na jamii yetu ya Kenya."
}