GET /api/v0.1/hansard/entries/836917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 836917,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/836917/?format=api",
"text_counter": 244,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Langu ni kuipongeza Kamati hii kwa utafiti katika ofisi za ubalozi za nchi ya Kenya zilizoko maeneo yale waliweza kupitia. Ukweli ni kwamba masuala yaliyotajwa hapa ndivyo mambo yalivyo. Matatizo yako katika kila ofisi zetu za ubalozi kule nje. Tatizo linalowakumba mabalozi wetu walioko kule na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}