GET /api/v0.1/hansard/entries/837016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 837016,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/837016/?format=api",
    "text_counter": 343,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mwanzo, ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenye Kiti wa hii Kamati. Mimi ni naibu wake. Pia, ningependa kuchukua nafasi hii kushukuru Kamati kwa jumla kwa kazi nzuri tuliyoifanya. Pia, ningependa kuwashukuru Waheshimiwa wote waliochangia. Sisi tumesoma kutoka kwa vile wamechangia."
}