GET /api/v0.1/hansard/entries/837017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 837017,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/837017/?format=api",
"text_counter": 344,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Katika upande wa wafanyikazi, ni kweli tuliona kulikuwa na hiyo changamoto Isibania. Wenyeji hawajapewa hizo nafasi. Tuliita shirika ambalo linahusika na tukapeana mwelekeo wetu kwamba njia ambayo wanatumia wakiweka matangazo haifiki kule mashinani. Kwa hivyo, tukasema ni vizuri waweke hayo matangazo hata pale kwa border . Pia, ni vizuri katika zile kandarasi zao wakipeana, waweke kama maagizo kwamba ni vizuri wawapatie wale wenyeji hizo nafasi."
}