GET /api/v0.1/hansard/entries/837020/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 837020,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/837020/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Naomba na nasisitiza kwa Waheshimiwa Wabunge tuwe na moyo wa kuleta majirani wetu pamoja. Hiyo haimaanishi tuwe wakarimu sana. Lakini nawahakikishia kuwa ukarimu wetu unatufaidi. Wenzetu wataendelea kuona ukarimu wetu na faida tunayopata na wao watakuwa wakarimu kama sisi. Lau kama hawatakuwa wakarimu, hawatafaidika."
}