GET /api/v0.1/hansard/entries/837140/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 837140,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/837140/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi kuchangia swala la maji kutokana na Statement ya Sen. Kang’ata. Watu wa Murang’a wanataka kuleta mjadala wa jambo ambalo wakati wake umefika. Kulingana na hii Statement ya Mhe. Irungu Kang’ata, vyanzo vya maji ambayo yanaenda Kiambu na Nairobi vinatoka Murang’a lakini asili mia 30 peke yake ya watu wa Murang’a wanapata maji. Je, haingekuwa bora watu wa Murang’a wapewe maji ya kutosha kwanza ndiposa hayo mengine yaende kwa zile county zingine? Hili swala sio shida ya Murang’a peke yake. Pale ninakotoka; Taita Taveta, Mzima Springs inatoa maji mengi sana. Hayo maji yanaenda Mombasa hadi Kwale na watu wa Taita Taveta wana kiu. Hawapati hata ndururu kama ada kutokana na yale maji. Watu wanaeza ona ya kwamba Mwangi wa Iria, Governor wa Murang’a, hana akili timamu lakini lile swala analochangia ni swala ambalo linatakikana tuwe na mchakato ili tuliangalie kiundani zaidi. Watu wa Murang’a wako na ile dam lakini hawana maji. Kule Taita Taveta---"
}