GET /api/v0.1/hansard/entries/838491/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 838491,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/838491/?format=api",
"text_counter": 158,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwatate, ODM",
"speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Tulichaguliwa kuwakilisha wananchi wetu. Ni vizuri hili suala liangaliwe kwa undani angalau Katiba ipigwe msasa pale iko na watu waende mbele. Hata wale ambao wanasema IEBC iondoe sehemu nyingine, hii Kenya ina ukabila. Tukisema tunapiga msasa makabila na kuondoa mahali kwingine, Kenya inataka uwakilishaji wa kisawasawa maanake tuna ukabila. Ukiniwekea mimi, Eneo Bunge la Mwatate au Taita Taveta na kwingineko, mtatumaliza. Watu wa Taita na Taveta tuko wachache. Ni lazima tuangalie hili suala kwa undani. Mhe. Chris Wamalwa, nakuunga mkono kwa kuleta Mswada huu. Sisi Wabunge ni jukumu letu tuangalie mahali msasa utapigwa. Kama haiwezekani ama wananchi wakikataa, tutachukua ya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}