GET /api/v0.1/hansard/entries/838576/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 838576,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/838576/?format=api",
"text_counter": 243,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kutegemeana kwa lugha ya kimombo ni high dependency ratio ambayo ni asimila 75 katika Kenya. Idadi ndogo ya wale watu ambao wameajiriwa inawabidi wasaidie wale wengine ambao hawana kazi. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba uniongezee muda kwa sababu dakika zangu zimechukuliwa."
}