GET /api/v0.1/hansard/entries/839236/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 839236,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/839236/?format=api",
"text_counter": 274,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kueleza maoni yangu juu ya Mswada huu. Kwanza, nampa heko ndugu yetu, Sen. Cherargei kwa kuleta Mswada huu mbele ya Bunge la Seneti. Imemchukua muda mwingi wa kutafakari na kuona umuhimu sisi kuwa na sheria hii. Kama mwanasheria nasema ya kwamba kusimamisha mfanyikazi wa Serikali tukianzia Rais, Naibu wake, Makatibu wa Kudumu, Baraza la Mawaziri, gavana anayetawala kaunti aliyochaguliwa na wale wanaochaguliwa na gavana kufanya kazi na yeye kama vile County Executive Committee (CECs)"
}