GET /api/v0.1/hansard/entries/839935/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 839935,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/839935/?format=api",
"text_counter": 237,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Mdahalo huu umekuja wakati mzuri. Kuna jambo moja nzito sana hasa kwetu watu wa Mombasa. Michezo kwetu haijatiliwa mkazo sana. Serikali za Kitaifa na zile za Ugatuzi kwa jumla hazijatilia mkazo sana mambo ya michezo. Tuna changamoto kubwa ya ukosefu wa kazi. Michezo ingekuwa imetiliwa mkazo, watu wengi wangefaidika."
}