GET /api/v0.1/hansard/entries/839936/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 839936,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/839936/?format=api",
"text_counter": 238,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Kule kwetu kuna mihadarati na mambo mengi ambayo yameharibu watoto. Igekuwa michezo imetiliwa mkazo vile ambavyo inatakiwa, watoto wengi wangekuwa wameepukana na mihadarati ambayo iko kule. Vile vile, napendekeza kama wenzangu walivotangulia, kwamba kama kuna haja ya kitengo fulani ambacho wanamichezo wangekuwa wanaagaliwa. Jana tukiwa kwenye Kamati ya Barabara na Usafiri, kuna mama mmoja aliwafananisha wanaume na ndege ambao wana miti mingi. Kwa hivyo “miti mingi” ya wanaume kama ingepungua, nina hakika ufisadi ungepunguka hapa Kenya."
}