GET /api/v0.1/hansard/entries/839937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 839937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/839937/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Nasema hivyo kwa sababu wanaume wengi ndio wanashikilia nyadhfa kubwa kubwa. Kwa hivyo, hiyo “miti” yao, kama wangejaribu kuikatakata ama kuipunguza, nina uhakika ufisadi ungepungua, mambo mengi yangefanyika na pesa ingefika mashinani na kwa vile vitengo inavyotakiwa."
}