GET /api/v0.1/hansard/entries/839963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 839963,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/839963/?format=api",
    "text_counter": 265,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii ya kumpongeza Bw. Eliud Kipchoge kwa kuvunja rekodi ya ulimwengu ya marathon. Bw. Eliud Kipchoge alifanya jambo la ajabu katika wakati huu kwa sababu, licha ya majaribio kadhaa, alivunja rekodi tarehe 16 Septemba kwa zaidi ya dakika moja. Bw. Naibu Spika, jambo la kusikitisha ni kwamba katika nchi yetu ya Kenya wanamichezo wengi wanajitahidi kibinafsi. Hakuna mchango wowote unatolewa na Serikali Kuu ama hata serikali za kaunti kuhakikisha kwamba wanamichezo wale wanasaidika kwa njia mbali mbali. Kwa mfano, tukianza katika ukanda wa pwani, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}