GET /api/v0.1/hansard/entries/839991/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 839991,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/839991/?format=api",
"text_counter": 293,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika. Jambo ambalo limeonekana katika nchi yetu ya Kenya ni ya kwamba ijapokuwa wanariadha wetu wanabobea sana katika mbio za nyika na nyinginezo, viwanja na vifaa vingine ni za duni sana. Ukitembelea Kaunti ya Laikipia, hasa Nyahururu, mahali hawa wanariadha wote wanaenda kufanya mazoezi, unapata ya kwamba hakuna uwanja wa kisasa wa kufanyanyia mazoezi yao. Nyahururu kuna hewa safi na iko katika nyanja za juu ambazo zinahitajika kwa ukimbiaji. Ni kama hapa Uasin Gishu. Kwa hivyo, ningeomba ya kwamba wakati ambapo tunajadili, na hasa Serikali inapoangalia mambo yake, ikifanya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}