GET /api/v0.1/hansard/entries/839992/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 839992,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/839992/?format=api",
"text_counter": 294,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "mpangilio, tusiwe tukifurahia wakati wanariadha wanafanya vizuri lakini hatuwakifikirii wanapokuja hapa nyumbani. Nimesikia viongozi wenzangu wakisema ya kwamba tuwe na vyuo ambapo watakuwa wakifunzwa vile ambavyo watakuwa wakitumia pesa zao. Hata wanasiasa wanapaswa waonyeshwe jinsi ya kutumia pesa zao kwa sababu wasipochaguliwa tena na wananchi, huwa wanakuwa katika shida na umaskini wa kupindukia. Ningependa kumwambia mwenzangu kwamba nimesikia akisema ya kwamba hapa ndiko nyumbani kwa wakimbiaji, lakini wametoka Kaunti ya Nandi. Na wana mashamba makubwa na mifugo huko nyumbani kwao. Ningependa kumuarifu ya kwamba si majengo peke yake ambayo yanaonyesha ya kwamba mtu amejikimu kimaisha. Unaeza kuwa na shamba kubwa na ng‟ombe wengi---"
}